WAKATI Zimbwabwe na Afrika nzima ikiendelea kuomboleza msiba wa kiongozi wake shupavu, Rais wa pili wa nchi hiyo, Robert Gabriel Mugabe (95), Gazeti la Ijumaa Wikienda linakujuza mengi zaidi ya kiongozi huyo ikiwemo utajiri wake. Mugabe alifariki dunia Septemba 6, mwaka huu nchini Singapore...