Taarifa kutoka huko Tunduru mkoani Ruvuma zinadai kwamba Sheikhe afahamikae kwa jina la Abdulrazack Mohamed alikamatwa na watu wanaodhaniwa kuwa polisi (kutokana na mavazi yao) mnamo tarehe 7 mwezi March 2024 na kupelekwa kusikojulikana.
Ndugu walivofanya ufuatiliaji kwenye vituo vyote vya...