Habari!
Mimi nina design mikanda ya ngozi na nimekua nikitafuta sana Buckles (bakoz) za kufungia mikanda ambazo ni nzuri , imara, na high quality lakini sijapata hapa Tanzania! Nimepata sehemu ipo Kenya tu.
Nina uhakika lazima kuna sehemu au kiwanda hapa hapa Tanzania wanaoweza kunitengenea...