Wasemavyo hahenga, masikini hasemwi na mwenye njaa hasutwi.
Leo napenda kuongelea tabia ya timu ya yanga kuwa ombaomba huku wakitembeza bakuli wachangiwe, bado lipo palepale.
Sasa limebadilishwa, linakuja kwa jina la kuchangia 29,000 kwa kila mwanachama. Hii ni dalili tosha kuonesha ukata...