Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na kuwa biashara au uingiliaji wa serikali. Khalifa alionyesha kutokubaliana na hali hiyo na kuita...