Mimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na wazazi. Tena wazee wenye akili, busara na hekma. Siyo kila mzee.
Sijaelewa wapi tulikuja anguka...