BREAKING:
🇾🇪🇮🇱 Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora
Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen lilipiga Tel Aviv.
Lengo lilionekana kuwa kituo cha nguvu cha 'Gezer', kilomita 6 kutoka uwanja wa ndege wa Ben Gurion...
Baada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora wakijitoa kimasomaso eti kujibu mashambulizi ya Kiduku. Ha ha haa...kombora likawafelia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.