Mshambuliaji wa klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani na timu ya taifa ya England, Harry Kane, ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or ya Mchezaji Bora wa Dunia kwa mwaka 2026, katika hafla iliyofanyika Oktoba 26, 2026.
Katika tuzo hizo, nyota wa klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya...