The Ballon d'Or (French pronunciation: [balɔ̃ dɔʁ] (listen); lit. 'Golden Ball') is an annual football award presented by French news magazine France Football since 1956. Between 2010 and 2015, in an agreement with FIFA, the award was temporarily merged with the FIFA World Player of the Year (founded in 1991) and known as the FIFA Ballon d'Or. That partnership ended in 2016, and the award reverted to the Ballon d'Or, while FIFA also reverted to its own separate annual award The Best FIFA Men's Player. The recipients of the joint FIFA Ballon d'Or are considered as winners by both award organisations.
Conceived by sports writers Gabriel Hanot and Jacques Ferran, the Ballon d'Or award honours the male player deemed to have performed the best over the previous year, based on voting by football journalists, from 1956 to 2006. After 2007, coaches and captains of national teams were also given the right to vote. Originally, it was awarded only to players from Europe and widely known as the European Footballer of the Year award. In 1995, the Ballon d'Or was expanded to include all players from any origin that have been active at European clubs. The award became a global prize in 2007 with all professional footballers from around the world being eligible.
Nguli wa soka Thierry Henry amesema kuhusu Tuzo zijazo za Ballon d'Or, Mbrazil wa Barcelona FC, Raphinha ana nafasi kubwa kutokana na takwimu nzuri na ameonyesha kiwango Bora zaidi ya Mohamed Salah wa Liverpool
Amesema "Raphinha ana Magoli 11 katika UEFA Champions League, anafanya vizuri katika...
Ni dhahiri dalili ya mvua ni mawingu, kwa takwimu za Egyptian Talisman Mohamed salah namuona akienda kuibuka kidedea mshindi wa tuzo ya Ballon D'or mwaka huu 2025.
Bila shaka, naamini Liverpool atashinda kombe la Ligi kuu EPL 2025.
Bila wasiwasi, naamini Liverpool atashinda Final ya kombe la...
Nyota wa Ureno na Klabu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo ametamka hadharani kwamba, Vinicius Jr alistahili kushinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu. Ronaldo amezungumza hayo mbele ya wahudhuriaji wa tuzo za Globe Soccer.
"Kwa maoni yangu [Vinicius Jr alistahili kushinda, ilikuwa sio haki...
Wakuu,
Tuzo za Ballon d’Or 2024 zimejumuisha vipaji bora vya soka duniani, na tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume imeenda kwa Rodri (27) wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania.
Ushindi huu ni wa kihistoria kwa Rodri, ambaye amekuwa na msimu wa kipekee, akichangia mafanikio makubwa kwa...
Vijana wa 2000 hakika wanakosa burudani sana katika mpira katika zama hizi ambapo kuna mabadiliko makubwa yanatokea kwenye mpira.
Ebu twende nyuma kidogo viungo waliowahi kucheza mpira mkubwa hapa duniani lakini hawakuweza kuchukua hiyo tuzo ya Ballon d or.
Pale France kulikuwa na wachezaji wa...
Mchezaji kinda wa Barcelona, Lamine Yamal, amewasili katika hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or akiwa ameongozana na mdogo wake.
Soma, Pia:
• Rodri atua na magongo ndani ya Paris kupokea Ballon d'Or aliyoporwa Vinicius Jr
• Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti...
Taarifa mpya kutoka ukumbini Théâtre du Châtelet ni kwamba majina ya nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr na Jude Bellingham yameondolewa kwenye viti vyao kwa hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or itakayofanyika usiku wa leo, Paris, Ufaransa.
Hali hii imeleta mshangao mkubwa, na hakuna anayejua...
Kwa mujibu wa ripoti, Rodri ameshinda tuzo ya Ballon d’Or na yuko Paris kupokea tuzo hiyo.
Vyanzo vya habari Ulaya vinaripoti kuwa Vinicius Jr hatosafiri kuelekea Paris kuhuhudhuria tuzo za Ballon dor usiku wa leo kutokana na kuwa wamepata taarifa kuwa yeye sio
Mshindi wa tuzo hiyo na hakuna...
Mchezaji nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr, hatasafiri kwenda Paris kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo ya Ballon d’Or baada ya kujua hatashinda tuzo hiyo mwaka huu.
Uongozi wa klabu hiyo umeamua kwamba hakuna mwakilishi yeyote wa Real Madrid atakayehudhuria hafla hiyo ya kifahari.
Soma Pia...
Kipa wa Mamelod Sundowns Rollen William aongoza kwenye kura za mashabiki tuzo za Ballon D'or mwaka 2024 Upande wa Makipa akiwa na asilimia 55.9% akifatiwa na kipa wa Madrid A.Lounine akiwa na asilimia 21.9% hapo awali ziliongozwa na kipa was Real Madrid Lounine. kwa asilimia 59% kabla ya kipa...
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or.
Messi alishinda tuzo huyo Mara 8 huku Ronaldo akishinda mara 5
Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa imewajuisha Jude...
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or
Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata kuamua mechi.
Vini Jr ameshafanya hivyo mara nyingi lakini sifa zote anamwagiwa Jude.
Jude ana kipi...
Kwa mujibu wa mtandao wa hispania wa SPORT mwanasoka wa Argentina Lionel Messi atashinda tuzo yake ya 8 ya Ballon d'or akimshinda mpinzani wake Erling Haaland.
Aidha kwa upande wa wanawake tuzo hiyo atashinda Aitana Bonmati.
Ule mchuano mkali uliodumu kwa takribani miaka 18 wa wanasoka nguli kuwahi kutokea duniani wenye vipaji vya hali ya juu hatimaye unaelekea ukingoni.
Si mwingine bali ni mchuano kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
https://www.jamiiforums.com/threads/messi-vs-ronaldo-nani-zaidi.13334/...
Hizi tuzo zilitolewa kwa kuangalia mshindi wa UEFA Champions League (UCL). Ni dhahiri kwamba mchango wa Modric ni muhimu na wakipekee. Kama asingekuwepo Modric wala Real Madrid wasingeshinda hayo makombe.
Huyu Modric aliweza kufikia nafasi ya pili (2018) na nafasi ya tatu (2022) Kombe la Dunia...
Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao.
Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na kuwa mawinga hatari sana katika Klabu ya Arsenal. Kiwango chao cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma...