Dodoma
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeshiriki uzinduzi wa michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) ambapo taasisi hizo zimehimizwa kuandaa programu za mazoezi na michezo kuanzia sasa.
Ili kufanikisha azma hiyo, Katibu Mkuu Kiongozi...