CCM lazima ibadilike.
CCM lazima iende na wakati.
CCM isijifikirie kuwa wao ndio wana akili kuliko wengine wote, hasa walio madarakani.
CCM ikubali na iunde utarstibu wa kuvumilia kukodolewa ndani na nje ya chama.
Picha inayojitokeza ni uongozi wa CCM kutojiamini na kushindwa kujibu hoja...
Balozi Ali Karume MwanaCCM anayedaiwa kuvuliwa uanachama, Amesema kwamba , mpaka sasa hata yeye anasikia tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwamba amevuliwa uanachama.
Na kwamba ikiwa atapewa Barua hiyo basi atafunguka , hawezi kuzungumzia uvumi tu wa mitaani.
---
Muda mfupi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemuweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu kada wake Balozi Ali Abeid Karume kutokana na kauli zake za kukidhalilisha chama na viongozi wake.
Hatua hiyo inatokana na onyo alilopewa na kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Jimbo la Tunguu, Mkoa wa Kusini...
Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Ali Abeid Karume amehojiwa na Kamati ya Maadili ya chama hicho na kuweka wazi kwamba yupo tayari kupokea uamuzi wowote utakaochukuliwa dhidi yake.
Hali hiyo imefuatia baada ya kauli yake ya hivi karibuni...
Kihistoria, Afrika baada ya ukoloni, karibu kila nchi ilipitia hatua tatu. Hili limewekwa sawia na mwanazuoni mzawa wa Ghana, anayeishi Afrika Kusini, Profesa Kwesi Prah.
Andiko la Profesa Prah “Multi-Party Democracy and It’s Relevance in Africa” – “Demokrasia ya Vyama Vingi na Uhusika wake...
Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana.
Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme.
Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+.
Kwa misuguano hii kamwe haijengi bali ni kuongeza nyufa ndani ya nyumba husika.
Nafikiri hiki ni kipindi bora kwa wapinzani wazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.