Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakubu amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Afrika Kusini nchini Comoro Bi. Nichola Sabelo alipotembelea Ofisi za Ubalozi, Moroni tarehe 03 Julai, 2024.
Tanzania na Afrika Kusini ni nchi marafiki wenye historia ya muda mrefu tangu katika zama...