balozi wa marekani kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Balozi wa Marekani nchini Kenya atoa tamko baada ya ripoti ya Nation kufichua kuwa vyombo vya usalama vinatumia mitandao ya simu kukamata watuhumiwa

    Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ameonesha wasiwasi wake kuhusu ripoti iliyotoka hivi karibuni ambayo inaonesha kuwa polisi wa Kenya wanatumia taarifa za watumiaji wa simu ili kuweza kukamata wahalifu. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara yake katika Kaunti ya Trans...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…