Uingereza siku ya Jumanne ilitangaza kwamba imemuita Balozi wa Rwanda nchini Uingereza baada majeshi ya Ulinzi ya Rwanda na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kusonga mbele katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
"Hatua hizi ni ukiukaji usiokubalika wa uhuru na uadilifu wa...