Taarifa yake hii hapa
Nimefika Ubalozi wa Tanzania Jijini Pretoria Afrika Kusini kuaga kabla ya kuondoka katika nchi hii na kupokelewa kwa heshima kubwa na Balozi wa Tanzani Mh James Bwana na maafisa wa Ubalozi huo. Nimefanya mazungumzo na Balozi Mbwana kwa mambo kadhaa wa kadhaa ikiwemo...