balozi yakubu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Balozi Yakubu achagiza Wafanyabishara wa Anjouan kuagiza bidhaa Tanzania

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakubu amekutana na Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kisiwa cha Anjouan na ujumbe wake na kuwahimiza kuzidisha uagizaji wa bidhaa toka Tanzania kwa kuzingatia ukaribu wa kijiografia na uhusiano wa kihistoria uliopo. Balozi Yakubu ambaye...
  2. Ojuolegbha

    Balozi Yakubu akutana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Comoro, James Tsok Bot

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Comoro, Mhe. James Tsok Bot aliemtembelea Ubalozini tarehe 17 Septemba, 2024. Katika mazungumzo yao wamezungumzia maeneo kadhaa ya ushirikiano mintarafu uwakilishi wao nchini Comoro.
  3. Ojuolegbha

    Profesa Ali Tabibu aeleza mabadiliko na mahusiano ya Kitaaluma na Tanzania katika mazungumzo na balozi Yakubu

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amefanya mazungumzo na Professa Ali Tabibu Ibouroi, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Comoro alipomtembelea katika makao makuu ya Chuo hicho. Prof. Ibouroi alimweleza Balozi Yakubu kuwa Chuo hicho kimeanzishwa miaka 20 iliyopita na ndio chuo kikuu pekee...
  4. Ojuolegbha

    Balozi Yakubu akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa ANAM Mohamed dahalani

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Usafiri Baharini (ANAM), Ndugu Mohamed Dahalani ambapo wamejadiliana maeneo kadhaa ya kufanyia kazi ili kuboresha usimamizi wa sekta ya usafirishaji kwa njia ya bahari baina ya nchi hizo mbili...
  5. Ojuolegbha

    Balozi Yakubu azungumza na Radio UFM Tanzania kuhusu biashara baina ya Comoro na Tanzania

    Mahojiano ya Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Othman Yakubu na Radio UFM kuhusu biashara baina ya Comoro na Tanzania na Ziara ya Shirika la Uzalishaji mali la Jeshi la Kujenga Taifa - SUMA JKT. Pia, soma: Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na uongozi wa Chama...
  6. J

    Balozi Yakubu atembelea kiwanda cha maji cha Aden nchini Comoro

    Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro wakiongozwa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Saidi Yakubu leo wametembelea kiwanda cha maji cha Aden kinachomilikiwa na Mfanyabiashara mwenye asili ya Tanzania, Khalil Bakhressa. Bw.Bakhressa aliueleza ujumbe huo kuwa hivi sasa wanazalisha maji...
  7. Ojuolegbha

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na uongozi wa Chama cha Urafiki baina ya Tanzania na Comoro

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na uongozi wa Chama cha Urafiki baina ya Tanzania na Comoro - AMICAL waliofika kujitambulisha kwake. Ujumbe huo uliowajumuisha Katibu Mkuu Youssouf Said Ali ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Elimu wa Rais wa Comoro, Msemaji wa AMICAL...
  8. Ojuolegbha

    Balozi Yakubu apokea ujumbe wa Meya wa mji wa Nsujini

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu, amepokea ujumbe wa Meya wa Mji wa Nsujini Mstahiki Andoir Maoulana ambaye amefika ubalozini kwa lengo la kupata fursa za ushirikiano baina ya eneo lake na eneo jingine Tanzania. Aidha Meya Maoulana aliambatana pia na Mkuu wa Mkoa wa D’itsandra...
  9. Ojuolegbha

    Balozi Yakubu awasilisha hati za utambulisho kwa rais wa Comoro

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 02, 2024 amewasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Nchi hiyo, Mhe. Azali Assoumani ambapo wamepata pia fursa ya kufanya mazungumzo kuhusu uhusiano wa nchi hizo mbili. Balozi Yakubu ambaye aliwasilisha hati hizo za utambulisho kwa...
Back
Top Bottom