baltasar ebang engonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    SI KWELI Baltasar Ebang Engonga ameachiwa huru kwa kukutwa hana hatia

    Nimekutana na taarifa zinadai kuwa Baltasar Ebang Engonga ameachiwa huru na kurudi mtaani baada ya kukutwa hana hatia kwani Wanawake wale aliokuwa akifanya nao ngono kwenye zile video zaidi ya 400 ni watu wazima na walionekana kuwa wameridhia kufanya na kurekodiwa. Aidha vipimo vilionesha hana...
  2. P

    Kulikuwa na haja gani kwa serikali ya Equatorial Guinea kuvujisha zile video?

    Habarini wakuu. Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea . Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono? Kwa Nini wasingechukua hatua kimyakimya? Haya mambo nadhani binafsi naona ni uzuzu tu wa serikali zetu za kiafrica...
  3. Waufukweni

    Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

    Wakuu Taarifa kutoka Equatorial Guinea zinaeleza Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa muathirika wa kashfa ya video za ngono za mwanasiasa wa Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, amejiua ili kuondokaa na aibu baada kigogo huyo kunaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mbalimbali...
  4. Chief Kumbyambya

    Siamini Baltasar Engonga alikuwa na hela za kuwarubuni wake za watu wazito waliohusika kwenye sakata hili. Tatizo ni wanawake wenyewe

    List ya wanawake anaotajwa kuwashughulikia Baltasar Mwaegonga ni kama ifuatavyo: 1. Wake wa mawaziri 20, 2. Mke wa mchungaji kanisa anakosali 3. Mtoto wa mdogo wake rais wa nchi 4. Mke wa mjomba wake mjamzito 5. Mke wa mkuu wa polisi 6. Mke wa mkuu wa idara ya usalama wa rais 7. Wake wa maafisa...
  5. covid 19

    Watu wenye Matamanio Yasiyokuwa na Mipaka: Rafiki yangu wa chuo ana ufanano mkubwa sana na Engonga wa Guinea

    Niliposikia kuhusu tabia za Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, alinikumbusha rafiki yangu wa chuo. Rafiki huyu alikuwa na tabia zinazofanana sana na huyu Engonga, hasa katika masuala ya wanawake. Nakumbuka nilipokuwa...
  6. Mtoa Taarifa

    Guinea: Baltazar na Watumishi wa Umma walioshiriki naye Ngono ofisini kufukuzwa kazi

    Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la...
  7. Waufukweni

    Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono. Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi...
Back
Top Bottom