bamia

Bamia (Arabic: بامية‎, cooked okra; Greek: μπάμια; Turkish: bamya), or bamia bi-lahm (Arabic: البامية باللحم أو شوربة البامية‎ okra with meat), is a Middle Eastern, Anatolian and Greek stew prepared using lamb, okra and tomatoes as primary ingredients. Additional ingredients used include tomato sauce, onion, garlic, cilantro (coriander), vegetable oil, cardamom, salt and pepper. The word "bamia" itself simply means "okra" and it is etymologically an Arabic word.Bamia is very popular during fasting seasons such as Easter in Greece and Cyprus.

View More On Wikipedia.org
  1. Hii mbegu ya bamia inafaa Kwa soko la dar?

    Nataka kupanda hii mbegu Vipi sokoni inafanya vizuri? Au Kuna species nyingine Haswa Kwa soko la dar
  2. Naomba uzoefu kilimo Cha bamia

    Wakuu habari Aliwahi kulima kilimo Cha bamia , naomba uzoefu 1. Mbegu nzuri yenye kukua Kwa haraka 2. Mbolea gani nzuri na dawa za kuulia wadudu 3. Upande wa sokoni 4.Kwa heka moja naweza kupata kiasi gani Hapa, teyari Nina pump ya kumwagilia, shamba lipo , na maji Yana flow through...
  3. E

    Nahitaji magunia ya bamia na Nyanyachungu Dar es Salaam

    Habari za majukumu, Kama kuna mkulima au mwenye anajua zinapatikana BAMIA na nyanya chungu naomba connection, ikiwa karibu na Dar itakuwa vizuri zaidi au hata nje ya Dar. Nahitaji gunia kuanzia 5 na zaidi kila baada ya siku 2. 0658644485 kwa mawasiliano zaidi
  4. Faida za Maji ya Bamia kwa mwili wa binadamu

    Bamia ni mboga yenye umuhimu mkubwa katika lishe yetu na maji yake yana faida nyingi kwa afya. Mbali na kutumiwa kama sehemu ya mboga kwenye mchuzi au rosti ya mboga, maji ya bamia yana umuhimu wake ambao mara nyingi huenda usifahamike sana. Virutubisho muhimu zinavopatika ndani ya maji ya...
  5. Bamia ni muhimu wadada wenzangu!

    .
  6. Miujiza kuhusu Therapy ya bamia

    Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu. Mahitaji 1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa) 2. Bilauri ya maji (nusu lita) Maelekezo Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza kuzichana katikati mara nne ili ukizikatakata zionekane kama vibanzi vya chips. Tumbukiza vipande vya...
  7. Wanawake na matumizi ya Bamia kuongeza 'Utelezi'

    Duuhh wakuu Kila kukicha Kungwi wa Wanawake ana lake jambo !!. Unaambiwa siku hizi ,wakitaka kukutembelea. Bamia zinatengenezwaa, Kisha inachujwa ivi , unapatikana ule utelezi wa Bamia. Baaaasi bwanaa, huo utelezi bidada anaweza kuuweka kwenye kikopo ivi akaja nao kuonana Nawewe au ...
  8. R

    Natafuta mkulima wa bamia Arusha

    Habari wakuu. Natafuta mkulima wa bamia Arusha. Nahitaji debe/ndoo angalau 40 za bamia iliyo tayari. Mawasiliano 0656388678
  9. Zijue faida muhimu za mmea wa Bamia (Okra)

    🥕1. Awali ya yote, ukichukua majani ya bamia ukayachoma kwenye moto na ukachukua yale majivu ukayapaka kwenye ngozi au kidonda ni tiba ya vipele na allergy kwenye ngozi. 🥕2. Halikadhalika ukichukua bamia mbichi ukawa unatafuna pamoja na mdimu kila siku asubuhi kama ulikuwa na kinyama kwenye...
  10. Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

    Hivi asali wanazolamba zina nini?
  11. Kilimo cha Bamia: Fahamu kuhusu mbegu bora, mazingira sahihi ya kulima, magonjwa na namna ya kuyakabili

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU KILIMO HIKI: Mwenye kufahamu ufanisi wa hiki kilimo atujuze mambo yafuatayo: 1) Mbegu bora zinapatikana wapi? 2) Zinachukua muda gani kukomaa? 3) Masoko yake yako wapi? 4) Bei ya kuuza inakwendaje? Asanteni. === --- --- === UFAFANUZI WA JUMLA WA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…