Wakuu,
Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣
Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh:
Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela.
Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC.
Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
Yanga hii? Aaaargh. Watu watalia sana. KMC leo anachapika vibaya si chini ya bao 2. Yaani kufungwa ni kama Pi. Haina ubishi. Yanga imekamilika kila idara na ndiyo team yenye washambuliaji hatari sana katika ligi.
Isitoshe tumefanikiwa kuukagua uwanja asubuhi hii ndo tunatoka. KMC wameisha...
Kwanza Tabora wachezaji muhimu hakuna kama kawaida yao.
Referee ni yule yule Rose Mhando
Hawana fitness ya kueleweka
Rage yupo kwenye kamati kuu
Hata wakibana vipi dk za fidaa ata zifike 150+ patawekwa tuta na watafungwa
Ni hayo tuu mods naomba mnitimizie nilichoomba
TCRA matapeli wa tuma kwa namba hii dawa yao ni moja Ban NIDA iliyosajili hizo namba, pamoja na ku Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA
TCRA chukueni ushauri wangu mtateketeza matapeli wote ndani ya miezi mitatu
Swala la utapeli wa meseji za tuma kwenye namba hii ni kama limewazidi akili...
Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10.
Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.
Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni...
Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je?
Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
Ikijitahidi sana ni draw. Sioni ikishinda magoli. Labda itashinda njaa tu. Pamba leo wanashinda. Kwa makafara waliyoyatoa? Mikia kipigo kipo. Tena kipo kweli kweli.
Simba ikishinda nipigwe BAN YA SIKU 3. Najua hilo la Simba kushinda halipo. Wakijitahidi sana ni kutoa Draw. Hapo wamejitahidi...
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo...
Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake.
Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini.
Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa...
CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
Wakuu,
Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh:
Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho?
Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa...
Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga.
Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
SIONI NAMNA PAMBA ANAWEZA KUTOA HATA DRAW. SIONI KABISA.
Yaani hawa jamaa leo lazima Aziz Ki atupie, Chama atupie, Zengeli atupie. Pamba siku zote ni wetu. Ni wetu na tena ni wetu. Yaani hawana cha kutuzuia sisi kupiga mpira mwingi sana na mabao ya kutosha.
Hii ndo match ambayo wanayanga...
Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana.
Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji wazuri awamu hii yote ya Samia na wataendelea kusajili ifanye vizuri zaidi.
GSM WANAIPAMBANIA TEAM...
Habari ndugu zangu
Nimepost Uzi kwa utani ila Kuna raia humu vichwa vibovu wanasemelea kwa mods nipigwe ban Sasa nyinyi mnavo tutania sisi mbona tunachukulia poa tu! Kama huwezi utani bora usicomment
Kila mwaka Uto bin KABWILI wanamsajil mwamba wa lusaka Ccc chama aliyewanyanya uto miaka 4 mfululizo alimstaafisha beki kisiki ninja alimpa mateso makali juma Abdul na kaseke
Metacha ndyo atak kabisa kusikia jina la chama alimchomfanya mpka leo jicho lake halioni vizur
Chama na Simba ni...
Hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi.
Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?
Mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha ukapigwa ban 🐒
---
UFAFANUZI