bandari.

Al Bandari Mobarak Abdullah (Arabic: البندري مبارك عبدالله; born 9 December 2001) is a Saudi Arabian footballer who plays as a forward for Saudi Arabian club Al Yamamah and the Saudi Arabia national team.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Msaada: Makisio ya kodi na ushuru bandarini

    Wakuu wazima? Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani, rawmaterials na packages. Itapendeza kama nikipata mchanganuo wa gharama zote. Natanguliza shukrani..
  2. Lobito Atrantic Railways, hawalali, wanajiandaa kusafirisha madini ya Zambia na Congo.

    Lobito wanajidaa kusafirusha madini ya Zambia na Congo hadi Angola.
  3. J

    Uwekezaji wa DP-World ni USD 250 milioni ni mdogo kuliko "kishika uchumba" cha Barrick USD 300 milioni

    Watanzania sijui akili zetu zikoje. Kwanini hatujui thamani halisi ya rasilimali zetu? Dpw wameahidi kuwekeza usd 250 mil na kuchukua bandari yetu. Na fedha hizo sio kama wanawekeza kwa mkupuo, bali ni kwa miaka kadhaa. Tanzania kama nchi hatushindwi kupata kiasi hicho cha fedha. Hata...
  4. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  5. Chadema kinawasaliti Watanzania katika swala la bandari.

    Chadema ndio chama kikuu cha upinzani,but they are abdicating their responsibility. Ni kazi yao kuwakaribisha watu wote wanaoipinga serikali. Sasa inawakuwaje Sauti ya Watanganyika inawataka wadhamini mkutano wao,Chadema haitaki kuhusika? Siyo kila mtu anataka DP World wapewe bandari zetu...
  6. Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

    Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa. Haki zetu wenyewe nazo...
  7. Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai. Nakala : Maulid Kitenge Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
  8. PAROKO: Tusikae kimya sasa kusubiri Miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari.

    Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija...
  9. TANESCO wameshindwa kujiendesha

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naona ni muda muafaka wa kuuzia hili shirika wadau wa DP WORLD afu Bandari tukabaki nayo naona Tanesco wameshindwa kujiendesha. Bado tunawasha mishumaa na makoroboi 2023 kisa umeme hamna zaidi ya masaa 34 aibu TANZAGIZA.
  10. Michael jackson: "Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi"

    Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi, (Usijali watu wanasema nini, Kwa sababu tunaujua ukweli) Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kutuhusu, (Inatosha sasa, upuuzi huu!), Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu sisi, Koras! Vichwa Panzi, Bongo lala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…