bandari bagamoyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni "Serikali ipo...
  2. saidoo25

    Bunge laazimia Serikali ianze ujenzi wa Bandari Bagamoyo je haya waliyazingatia wabunge?

    BUNGE limepitisha azimio la kuitaka Serikali iharakishe utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandarii ya Bagamoyo. Azimio la Bunge hili la Bunge kuhusu Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo limeazimia na Bunge lakini mradi haujawahi kuwepo. Azimio la Bunge kuagiza mradi huu utekelezwe haraka...
  3. Memento

    Ni Mwambe au Kikwete yupi muongo kuhusu mkataba wa Bagamoyo?

    Nimeona wengi wakimshutumu Mwambe, lakini inawezekana Mwambe akawa yupo sawa Ila kikwete ndio aliongopa. Tarehe 17/10/2015 ilifanyika hafla ambapo raisi mstaafu J Kikwete alizindua jiwe la Msingi kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Hadi kufikia hatua ya kuweka jiwe la Msingi tafsiri...
  4. L

    Ujenzi wa Bandari Bagamoyo, wananchi 9800 kulipwa fidia

    Hatimaye ule mradi mkubwa wa Bagamoyo kurejewa, tiyari wananchi wamelipwa fidia kupisha mradi. Hekta 9,800 ni za mradi Eneo Maalum la Kiuchumi Bagamoyo, hekta 3,000 ni uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo, Hekta 6,800 zilizobaki tayari hekta 2,600 zimelipiwa fidia kwa ajili ya uwekezaji na Mamlaka...
  5. Replica

    Mwita Waitara: Huwezi kushindana na wakenya kwa bandari ya Dar es Salaam, option ni kwenda Bagamoyo

    Mwita Waitara: Ukitaka kushindana na watu wa Mombasa, bandari ya Mombasa ni kubwa kwelikweli, unganisha zote hapa Tanzania hatuwafikii kwa ukubwa wa eneo hata mizigo inayotua pale. Hata kama tumeongeza Mtwara bado hapa hatuwezi kutanua zaidi, tunataka tuweke utaratibu wa bandari ambao...
  6. MchunguZI

    Wabunge walifanyiwa Presentation wakasema safi. Rais Samia sasa kaingia line

    Kwanza niulize; Wapi wabunge walikokwenda wasiombe rushwa? Hata kwenye taasisi za serikali ni hivyo hivyo! Mbumbumbu hawa ndo iwe kigezo cha kuwekeza Bagamoyo? NO! Bandari ya Bagamoyo ilibuniwa kuanzia ikulu ya Kikwete. Hakukuwa na faida yoyote ya nchi ila familia yake na baadhi ya wanasiasa...
  7. S

    Karibuni Wachina na mikataba yenu ya ujenzi wa Bandari Bagamoyo

    Huenda ikawa baada ya miaka 100 ijayo ngozi nyeusi ikapatikana kwa nadra hapa Tanzania kama ilivyo kwa Madagascar na Mauritius. Kupata mtu mweusi wa asili itabidi labda uende ndani kabisa mashambani huko vijijini. Majina ya asili yatachanganyikana na ya kichina kwa hiyo yatapotea kabisa...
  8. K

    Tukaribishe makundi mengine ya uwekezaji katika Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Mradi wa Bagamoyo ni drama za ajabu sana huwezi kupata faida kwenye mkataba kama unaongea na mwekezaji mmoja tu. Kama China na Oman wanajua wako peke yao serikali itakuwa kwenye wakati mgumu sana kuweza kujadili mkataba mzuri. Hivyo ushauri wangu ni kutangaza upya uwekezaji maana siku hizi...
  9. Yericko Nyerere

    Mradi wa Bagamoyo ulitakiwa uanze kabla ya Bwawa la Nyerere, Rais Samia umetuheshimisha

    NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO MAMA UMETUSHINDIA Na Yericko Nyerere Hureeeeee vita vyetu kwa maslahi ya Taifa tumeshinda! Asante Rais Mama Samia suluhu Hassan, nilimpinga Magufuli alipositisha mradi huu kwa hoja dhaifudhaifu na za uongo wa kiwango cha rami. Nikampinga baada ya kufariki baada ya...
  10. P

    Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi? kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh...
  11. Shujaa Mwendazake

    Bandari Bagamoyo: Job Ndugai historia itakuhukumu, umeonesha unafiki mkubwa, ni heri ukae kimya

    Hebu tumtazame Job hapa chini. Huyu alikuwa kiongozi wa Mhimili au vip?..Mbona amekuwa mnafiki kiasi hiki huyu mzee? https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-ataja-sababu-kusitisha-ujenzi-bandari-ya-bagamoyo-kwa-mkopo-wa-dola-bilioni-10.1593875/...
  12. seedfarm

    Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

    Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini. Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi...
  13. MK254

    Mchina asema kinachoenezwa na Tanzania kuhusu bandari ya Bagamoyo ni uongo

    Asema asllimia kubwa ya sababu ambazo Tanzania ilitumia kubamiza mradi ni uwongo maana hazijawahi kujadiliwa kwenye kikao chochote au siku yoyote. --------------------------------- China’s largest port operator has accused the government of Tanzania of spreading “false information” and...
  14. Shigganza

    Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amebadilisha msimamo wake kuhusu ujenzi wa mradi mkubwa wa ukanda maalumu wa kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) mkoani Pwani akisema awali yeye na wabunge wenzake hawakuyajua masharti ya mradi huo bali waliangalia tu faida zake. Kauli ya Ndugai imekuja ikiwa ni siku...
  15. Mpinzire

    China na Tanzania zashindwa kuafikiana kwenye ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Ujenzi wakwama

    Serikali imesitisha mazungumzo na wawekezaji katika Bandari ya Bagamoyo, Mradi ambao ungegharimu Tsh. Trillion 23. Wawekezaji katika mradi huo walikuwa ni China Merchant Holdings International Limited (CMHI) na State General Reserve Fund (SFRF) ya Oman. ====== The government admitted yesterday...
Back
Top Bottom