bandari dp world

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

    Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa. Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo...
  2. Kwa hiki wanachokifanya DP WORLD bandarini, maadui zetu wakubwa ni viongozi wetu walioruhusu upuuzi kudumu muda mrefu

    Wananzengo, mu Hali gani? Kwa masikitiko makubwa Leo nawatangaza hadharani maadui wakubwa wa taifa letu. Laiti tungekuwa na uongozi imara tungekuwa mbali sana kwenye mafanikio ya kiuchumi. DP WORLD wamepewa bandari bure, wamepewa na vitendea kazi bure. Leo wameongeza Terminal Trucks kumi na...
  3. Kuwekeza mabilioni ya umma kwenye bandari kisha kuwapa wageni kuendesha ni ile Nyerere alisema kupewa vipande vya chupa tukidhani dhahabu

    Habari kutoka serikali kufuatana na taarifa za leo serikali kwa sasa inawekeza mabillioni ya shilingi kuimarisha bandari ya Mtwara. Shughuli zinazofanyika ni pamoja na kuongeza kina cha maji kuongeza idadi ya gati maeneo na majengo ya kuhifadhi mizigo pamoja na vifaa vya kushusha na kupakia...
  4. TPA imesifiwa sana kwa kutoa Gawio la Bilioni 153.9 wakati 2018/19 Gawio lilikuwa Bilioni 480. Je, Rais Samia kasahau?

    Maswali chechefu: 1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja? 2. Je, Mhe Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa...
  5. DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji. Aidha, TPA imebainisha kuwa makabidhiano ni tangu Aprili 7, mwaka huu bila kuathiri uendeshaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…