Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini.
Je wapo wanaopima kina cha maji?
========
Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi...