Bandari ya Mtwara mkoani Mtwara, imepokea meli ya kwanza kati ya nne ambazo zinatarajiwa kuleta viuatilifu kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa zao la korosho nchini, kwa msimu wa mwaka 2025/2026.
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa Bandari Ferdinand Nyath, amesema meli hiyo imewasili...
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa), Mhe. Juliana Didas Masaburi amefanya ziara katika Bandari ya Mtwara ambapo aliambatana na Baraza la Vijana la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mtwara.
Katika ziara hiyo akiwa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mtwara Komredi Abuu Athumani, Mhe...
Bandari ya Mtwara ni miongoni mwa bandari kuu tatu zinazosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliyopo Kusini mwa Tanzania karibu na mpaka na Msumbiji.
Kijiografia inapatikana kilomita 578 Kusini mwa Jiji la Dar es Salaam. Bandari ya Mtwara ambayo ina kina kirefu ilijengwa...
UWEKEZAJI BANDARI YA MTWARA WALETA MATOKEO CHANYA
Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi ( Sekta ya Uchukuzi) Mhe. Atupele Mwakibete, amesema uwekezaji wa zaidi ya shillings bilioni 157.8 uliowekwa katika maboresho ya Bandari ya mtwara umeanza kuleta matokeo kwani kumekua na ongezeko la shehena na...
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mkoani Mtwara imepokea meli mbili zilizoshusha mtambo wa kupakulia mizigo mizito bandarini. Mitambo hiyo inauwezo wa kwenda chini ndani ya maji kwa zaidi ya mita 45, meli zilizoleta mitambo hiyo zimetoka Ireland na Dubai (UAE)
Mtambo huo utasaidia kuongeza kasi...
Uboreshwaji wa bandari ya Mtwara umefanya kuongezeka kwa biashara ya makaa ya mawe kutoka Kusini mwa Tanzania na kuipa Bandari ya Mtwara ambayo ni ya 3 kwa ukubwa nchini maisha mapya.
Uwekezaji wa kimkakati wa serikali katika uboreshaji wa Bandari ya Mtwara umegeuza bandari hiyo kuwa tegemeo la...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza Mpango Mkakati wa miaka mitano (5) (2021/22 – 2025/26), unaolenga kuboresha bandari zote za Tanzania ikiwemo Bandari ya Mtwara.
Imeelezwa kuwa kupitia mkakati huo Serikali...
Chini ya wiki 2, Bandari ya Mtwara imeweka rekodi mpya kwa kupokea meli kubwa yenye uwezo wa kubeba Tani elfu 60 za Makaa ya Mawe.(60,000).
Meli hiyo imetia nanga tayari kupakia Makaa ya Mawe kutoka kampuni ya Mwekezaji mzawa Ruvuma Coal Mining Limited.
Hii ni baada ya Meli nyingine ya Uswisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.