Marekani yalalamika kuwa eti Urusi imetumia droni za Iran kushambulia na kuzichoma ngome za kijeshi za Ukraine zilizopo karibu na bandari ya Odesa usiku wa kuamkia leo.
Jeshi la Ukraine lasikitika kuwa mashambulio hayo ya droni za Muajemi pia yameunguza maghala ya silaha za jeshi la Ukraine...