bandarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. "SGR Imefika Mpwapwa, Lakini Mizigo Bado Inapiga Kambi Bandarini!"

    Kutokuiunganisha Bandari ya Dar es Salaam moja kwa moja na mtandao wa SGR ulikuwa uamuzi usio na mtazamo wa mbali, na ni moja ya makosa makubwa ya kimkakati katika mradi wa reli mpya. Je, Kulikuwa na Ukosefu wa Maono? Ndiyo, kwa sababu bandari ndiyo chanzo kikuu cha mizigo ya transit, na reli...
  2. Ujanja ujanja wa GSM kwenye ligi anauleta mpaka TRA na bandarini

    GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu. Siku chache kabla ya Hayati Magufuli kuapishwa alijua kuwa segerea inamuhusu,akaifunga kampuni yaje ya Home...
  3. Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kutoka meli 1,547 mwaka 2020 hadi meli 4,487 mwaka 2024. Pakua Samia App...
  4. K

    Msaada: Makisio ya kodi na ushuru bandarini

    Wakuu wazima? Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani, rawmaterials na packages. Itapendeza kama nikipata mchanganuo wa gharama zote. Natanguliza shukrani..
  5. J

    Habari zenu natafuta kazi elimu kidato Cha nne mwenye connection za mashirika mbalimbali, bandarini au kampuni za usafirishaji

    Natafuta kazi kwenye makampuni, bandarini au Taasisi yoyote nipo Dar es salaam elimu yangu kidato Cha nne 0742548727
  6. B

    Meli imeshusha mzigo, imeelekea Mombasa na kushusha na sasa imeishafika india! Siku 11, bado mzigo haujatoka bandarini, kisa mfumo wa TRA

    Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini? Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
  7. Nahitaji kufahamu gharama za ushuru wa TOYOTA NOAH bandarini zikoje?

    Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu. Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza hiyo gari na kodi zote tafadhali nijuze
  8. Tanzania kuendelea na Mkataba wa Adani wa Dola Milioni 95 kuendesha Gati za Bandari ya Dar Licha ya Tuhuma za Rushwa

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuheshimu mikataba yake na kampuni tanzu ya Adani Group licha ya mashtaka mapya dhidi ya Gautam Adani, mwenyekiti bilionea wa kundi hilo, anayekabiliwa na tuhuma za utoaji hongo na udanganyifu, afisa mwandamizi wa Mamlaka ya Bandari amethibitisha. Wiki...
  9. Pre GE2025 RC Mtwara afanya ziara bandarini na vyama 15 vya siasa ili wakawaambie wanachama wao uwekezaji uliofanywa na serikali

    Wakuu, Mambo hayo, kwani matokeo si huwa yanajionesha tu? Kitu kikijitembeza ndio unatuambia hamna kitu hapo, ni garasa. ==== Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala leo Novemba 18,2024 anafanya ziara katika bandari ya Mtwara akiwa na Vyama 15 vya siasa. Akizungumza na waandishi wa...
  10. A

    Je TIN(tax identication number) iliyosajiliwa kawaid inaweza kutumika kutoa mzigo bandarini?

    Habari wakuu, husika na kichwa Cha habari tajwa. Mfano nimesajili TIN kwa ajili ya duka la kawaida na inaonekana Ina mtaji mdogo mfano 1M lakini itumike bandarini kuto mzigo unaozidi hio 1m mfano 5-10M , je hii haitaleta shida?
  11. Madini ya Dhahabu ya shilingi bilioni 3.4 yakamatwa Bandarini yakitoroshwa

    Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio...
  12. Serikali yaokoa dola milioni 600, miezi 4 ya DP World bandarini

    Imeandikwa katika ukurasa wa Instagram Wasafi FM Uwekezaji bandarini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, umeanza kuonyesha matunda makubwa baada ya serikali ya Tanzania kuokoa kiasi cha dola milioni 600 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na DP World. Kupungua kwa gharama...
  13. Nauza Dry & Reefer | Freezer Containers 40Ft & 20Ft

    Nauza Dry & Reefer | Freezer Containers 40Ft & 20Ft Bei za Dry Containers (Offer till 20th July) 20Ft - Tsh 4.3M 40Ft - Tsh 6.3M Bei za 40Ft Reefer Containers (Offer till 20th July) 40Ft - Tsh 28.5M Zote ziko Dar es salaam Mawasiliano: 0625973365
  14. Inawezekana kupokea gari bandarini na kusajili kwa niaba ya mtu mwingine?

    Habari wakuu, Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi. Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza...
  15. DOKEZO TRA yalalamikiwa kwa Uzembe na Hujuma Bandarini, Wafanyabiashara wa Mafuta wakimbilia Mombasa

    Salaam Wakuu, Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara. Tatizo hilo limeanza hivi karibuni. Ukipakia mzigo unaambiwa "System ipo down". Hali hii inafanya mfanyabiashara kusubiri...
  16. M

    SoC04 Mfumo wa masoko mtandaoni bandarini

    Cargo system mtandao ni mfumo wa teknolojia ambao unawezesha kusafirisha bidhaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia ya mtandao. Inaweza kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kielektroniki kama vile data, video, na picha, au kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kawaida kama vile nguo, vifaa...
  17. Hakuna sababu za ki "Demand & Supply" zinazosababisha bei ya kontena kupanda bandarini, tunapangwa?

    Ukiangalia supply and demand ya import and exports, utagundua wakati huu wa awamu ya 6 ambayo imeboresha mazingira ya uwekezaji, kama nchi tuna demand kubwa ya bidhaa kutoka nje. Hivyo gharama za usafirishaji bidhaa kutoka nje zilitakiwa zishuke na siyo kupanda kwa sababu ndani kuna soko la...
  18. Meli ya MV. Clarias yazama ikiwa Bandarini

    Meli ya MV. Clarias iliyokuwa kwenye maegesho ya bandari ya Mwanza Kaskazini imekutwa imepinduka na kuzama majini katika Ziwa Victoria asubuhi ya leo Mei 19, 2024, huku chanzo cha kuzama kwa meli hiyo kikiwa bado hakijafahamika. Meli hiyo ambayo hivi karibu ilikuwa kwenye matengenezo bandari ya...
  19. DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji. Aidha, TPA imebainisha kuwa makabidhiano ni tangu Aprili 7, mwaka huu bila kuathiri uendeshaji wa...
  20. Je, uwekaji flow meter bandarini zinawekwa mara ngapi?

    Nchi hii vigogo wapigaji wa hela ya umma wanafikiri watu ni wajinga wote na hawana kumbukumbu. Suala la ufungaji flow meter bandarini wengi tunakumbuka lilifanyika kipindi cha awamu ya nne ya JK lakini zikawa hazitumiki kwa kuhujumiwa. Iko hivi, yaani uwekaji wenyewe ni dili maana kuna ulaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…