bandarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DP world na Ongezeko la Ajira 43,907 Bandarini

    Uwekezaji wa DP world katika bandari zetu Tanzania, umepokelewa kwa mitazamo tofauti. Wengi wameonesha kutokubaliana nao kwa asilimia kubwa na kudai maboresho kadha wa kadha kwa manufaa ya nchi yetu huku wanaoupigia chapuo wakisema mkataba huo ni bora na utasaidia kuboresha utendaji bandarini na...
  2. Dkt. Samia: Kinachotokea bandarini nitakisomea Ikulu

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo June 09,2023 amefungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Biashara (TNBC), Ikulu Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kazi kubwa inaendelea kufanyika ya kuboresha mifumo ya TEHAMA kwenye Sekta za Umma ili...
  3. J

    Alichokizungumza Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa, kwenye mahojiano na TBC

    ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC “Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
  4. Kama unataka Kudate na wanafunzi wa vyuo vikuu, wahi kontena jipya, makontena yaliyotoka bandarini kuingia kariakoo heri utafute binti mtaani?

    Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya. Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
  5. Wafanyakazi 90% wa Bandarini sasa kupoteza ajira?

    Salaam Wakuu Teknolojia ya bandarini haitamuacha mtu salama. Inabidi watu wakarudi kusoma pale chuo cha bandari Temeke ambacho kinaenda kuwekewa vifaa vya kisasa vya kufundishia. Hivi karibuni Kampuni ya AD Ports Group ilisaini mkataba na kampuni ya Adani na SEZ Ltd kwa ajili ya uwekezaji wa...
  6. Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

    Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo. Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
  7. Wafanyakazi TTCL kupelekwa TRA na bandarini

    Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi. Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni...
  8. Naomba kujuzwa kuhusu ushuru bandarini kutokea Zanzibar

    Wadau anaejua taratibu za ushuru wa bidhaa pale bandarini kama umenunua vitu zanzibar inakiwaje anijuze. Kama wanachaji kwa asilimia za bei ya bidhaa au wanakuangalia unafananaje ndio wanakuchaji. Nataka nikafanye shopping huko naona vitu bei imekaa poa.
  9. Nafasi za kazi za muda bandarini

    Ombeni kazi ni nynyi tu na kuomba.
  10. Kumbukizi: Julai 2017 Rais Hayati Magufuli aliokota vichwa vya treni bandarini

    Nawakumbusha tu jamani kuwa mwaka 2017 RAIS shupavu na mtetezi wa wanyonge aliokota vichwa vya treni bandarini. Hii nchi imepitia misukosuko kuliko nchi zote duniani.
  11. Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

    Nafanya clearing za mizigo ya aina yote bandarini. Mawasiliano: WhatsApp & Call 0652802379
  12. Jinsi ya kupata masoko kwa upande wa Export Bandarini Dar

    Habari za saiz wapendwa samahanini nimemaliza chuo lakin nmepata kazi ambayo sijaisomea. Nimeitwa kwenye interview ya marketing officer kwenye bandari apa dar es salaam, upande wa Export lakin sifahamu jinsi gani naweza isaidia kampuni kuongeza masoko! Pia atakama nitapewa mafunzo na kampuni...
  13. Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

    Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali. NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
  14. Rais Samia Suluhu kufanyia kazi hoja za Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) Bandarini

    Mamlaka ya Bandari (TPA) imefanya upembuzi wa mifumo yake ili kushughulikia hoja za Mdhibiti wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/21 ya kuwa mifumo inasomana na hivyo kudhibiti upotevu wa mapato. Vilevile, imebainisha kuwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi Juni 2022...
  15. Kilio cha madereva pale bandarini wanaosubiri kuchukua magari yaliyoingizwa nchini yakielekea nchi jirani

    Habarini wakubwa na wadogo humu ndani. Jamii forum ina kila aina ya watu humu ndani hivyo naomba leo kuwaletea kilio hiki watu wa pale bandarini naomba lifanyieni kazi hili jambo linatuabisha. Madereva wa gari za IT na hata mizigo ya kawaida wanapokuwa wanasubiri taratibu nyingine za utoaji...
  16. I

    SoC02 Sera za kodi, ushuru na miundombinu bandarini zinavyozorotesha uchumi wa nchi

    Habari wana JF Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za kikodi na ushuru ambazo zinawavunja moyo wawekezaji na wafanyabiashashara wengi kupelekea kudorora...
  17. M

    KWELI Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba

    Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna malori (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi kufikia siku nne, madereva hao wamedai kulala na kula kwenye magari yao na kuomba kujisadia katika...
  18. Uwezekano wa kupata ajira bandarini au kiwanda cha Cocacola?

    Habari naomba kwa anaefahamu namna ya kupata kibarua bandarini au kiwanda cha Cocacola.
  19. Gharama halisi za kutoa gari bandarini, 2022

    Habari wakuu, Baada ya kupitia threads kadhaa zilizojaribu kuonyesha gharama halisi za kutoa gari bandarini, nimepata 'mawili-matatu' lakini bado kuna vitu vinanitatiza. Mchangiaji wa kwanza ameorodhesha; Shipping lines=150,000 Wharfage =115,000 Port charges =250,000 Plate number =30,000...
  20. Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…