Jana katika kipindi cha jioni alikuwepo mtu mmoja aliyejitambulisha kama Bantu. Alikuwa ameanza kuzungumzia jinsi alivyouona uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita.
Alikuwa anaongea maneno ya kweli na adimu sana kuyasikia kwenye media zetu. Muda mfupi nilitoka nje ya gari kidogo, kurudi...
Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!!
Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!!
Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
Sisi wengi wakongwe tunakumbuka historia ya Captain Gardner nguli wa vipindi vya redio, alianza kama muuza cassette (Kanda) za audio na video pale jijini mwanza kama mtu wa masoko, ndipo Othman Njaidi baada ya kuuona uwezo wa Gardner wa kushawishi wateja, akamchukua na kumpeleka Clouds FM japo...
Helloowww guyss!!!
Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday!
Mary God bless you and grant you many more years to celebrate!
Happy birthday Bantu Lady
Kwenu wadau...
Kile kipindi cha ule utatu (Bantu, Gadner na Musa) kiukweli wamekipunja muda. Wale walevi wanafanya poa sana kudadeki zao, masaa 2 hayawatoshi kabisa. Uongozi wa CMG ulifanyie kazi hili suala.
Wassalaam!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.