Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo.
Kwa kauli alizotoa nape hivi karibuni na za huyu mheshimiwa wa sasa natamani ccm wajionee aibu maana ni kama wamevuliwa nguo...
Kwa matamshi ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape aliyoyatoa majuzi huko Kagera, kuhusu mbinu anazozijua yeye ya namna ya kupata ushindi Kwenye chaguzi zetu na mbinu hizo hizo, akamfundisha Mbunge Byabato, kuwa kushinda uchaguzi hapa nchini, inategemea ni nani anahesabu...
Nilianza kupata mashaka urafiki wa Nape na Kinana siku ya uchaguzi wa wa wabunge wa Afrika Mashariki kwenye bunge lililoisha, uchaguzi ule tuliufanyia Karimujee, Nape akiwa Mwenezi na Kinana akiwa Katibu Mkuu.
Katika Kura kulikuwa na mchuano mkubwa sana kwa upande wa Akina mama, chaguzi...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba radhi wananchi na wapenda demokrasia nchini kutokana na kauli aliyoitoa kuwa si lazima CCM ishinde kura kwenye boksi, bali kuna njia nyingine zikiwemo alizosema za haramu.
Akizungumza kupitia video aliyorekodi, leo...
amavubi gfsonwin
baolamkono
goli lamkono
king'asti asprin
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
nape
nape aomba radhi
nape nnauye
ushindi nje ya boksi
wizi wa kura
Ukisikia dharau, hii imepita kiwango cha kawaida cha dharau.
Rais Samia na 4R zake Kila anakopita anahimiza Wananchi kujitokeza kuboresha Taarifa zao kwenye daftari la Wapiga Kura na àmbao hawana vitambulisha kutokana na umri au vimepotea wachukue vipya. Kisha anamalizia Kwa kuwataka wajitokeze...
Mimi ni mwanachama wa chama cha Mapinduzi CCM kindakindaki lakini ninaamini katika demokrasia, uchaguzi huru na wa haki katika kuijenga nchi na umoja wa kitaifa. Nimesikitishwa na kauli ya Waziri Nape kuwa matokeo yana tegemea anayehesabu na kutangaza matokeo ya kupiga kura na uchaguzi na siyo...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema video inayosambaa ikimuonyesha akisema kuna mbinu nyingi za CCM kushinda uchaguzi ikiwamo zisizo halali imepotoshwa na hakuwa na maana iliyotafsiriwa na watu wengi.
Kauli ya Nape kuhusu bao la mkono soma: Nape: CCM...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani...
baolamkono
kuelekea 2025
kuhesabu kura
kutangaza matokeo
matokeo uchaguzi mkuu
matokeo ya uchaguzi
nape nnauye
siasa tanzania
ushindi nje ya boksi
wizi wa kura
Habari Jf..
Nape Nnauye Juzi akiwa Mkoani Kanda ya Ziwa aliwaambia CCM Ushindi ni Lazima hata kwa Goli la Mkono ili mradi tu Referee apulize Kipenga.
"Goli ni Goli tu Hata Kama ni la Kuotea"
Hapa Swali la Kujiuliza Je Referee wa Mechi ya CCM na UKAWA atatuvusha Salama?, Kwa Maana Team zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.