bao

Baozi (Chinese: 包子), or bao, is a type of yeast-leavened filled bun in various Chinese cuisines. There are many variations in fillings (meat or vegetarian) and preparations, though the buns are most often steamed. They are a variation of mantou from Northern China.
Two types are found in most parts of China and Indonesia: Dàbāo (大包, "big bun"), measuring about 10 centimetres (3.9 in) across, served individually, and usually purchased for take-away. The other type, Xiǎobāo (小包, "small bun"), measure approximately 5 centimetres (2.0 in) wide, and are most commonly eaten in restaurants, but may also be purchased for take-away. Each order consists of a steamer containing between three and ten pieces. A small ceramic dish for dipping the baozi is provided for vinegar or soy sauce, both of which are available in bottles at the table, along with various types of chili and garlic pastes, oils or infusions, fresh coriander and leeks, sesame oil, and other flavorings. They are popular throughout China and have made their way into the cuisines of many other countries through the Chinese diaspora.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Wadau tumekwama; wastani sasa hivi ni bao moja tu!!

    Kwa sasa hiyo ndo hali halisi yetu. Tuufungue mwaka huu mpya kwa kuambiana ukweli huu mchungu ili kama lipo la kufanya basi tufanye....hali ngumu.
  2. FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

    Match Day. Young African Sports Club Vs Azam Football Club. Muda 12:30 Jioni. Benjamin Mkapa Stadium. Ni game kali, yenye kutaka ushindi. Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga? Tukutane kwa Mkapa. Daima Mbele, Nyuma Mwiko. All the Best Yanga. Mchezo umeanza Yanga...
  3. Simba nendeni Misri kukamilisha ratiba. Ukuta wa Yericko umegeuka kuwa ukuta wa biskuti, kila mechi bao

    Nilikuwa nawashangaa sana mashabiki wa hii timu walivyokuwa wanatamba sana mitaani wakijiapiza kumfunga Aly ahly goli za kutosha! Lakini kwa wale wanaojitambua tulikuwa tunajua madhaifu ya mwakarobo na lilikuwa ni suala la muda tu kuzima tarumbeta zilizokuwa zinapigwa na vijana wa Rage, Baada...
  4. Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    MAENEO AMBAYO WAISLAM WANAWAPIGA BAO WAKRISTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watibeli tunazichukulia dini kama shule na vyuo ambavyo hupika wafuasi wao na kutengeneza imani kupitia mafundisho Yao. Watibeli tunajua dini zote lengo lake ni Maadili na sio zaidi ya hivyo. Watibeli tunajua Dini...
  5. B

    Galants kumtoa Monastry na Yanga kutopata bao kwa Mkapa kunaleta tafsiri gani?

    Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha na Galants. Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
  6. Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

    Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea timu yake kupoteza mchezo huo. "Kwa waliotazama mechi vizuri hasa waliopo nyumbani watakubaliana na...
  7. W

    Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

    Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama hujaamshwa, basi unaweza kujikuta unaamka hata saa tatu asubuhi kesho yake. Najua tupo wengi humu...
  8. D

    Siku nyingine Rais akitoa fungu atenge kwa viwango; Bao la Championi lisiwe sawa federetation, Yanga alistahili kupewa 2 mil kwa bao

    Hii michezo ina ngazi! Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa). Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha! Yanga iko federation cup ( ligi ya...
  9. K

    Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara. Wanawake 1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770 2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764 3. Christina Solomon Mndeme Kura...
  10. Baada ya Act wazalendo kuwapiga bao Chadema kisiasa. Chadema wanaeneza uongo kuwa wamejenga ofisi mikoani.

    Jiwe la msingi limeandikwa kwa mark pen. Jengo ambalo ni duka la wananzengo. Huu ni utapeli mkubwa sana wa kisiasa.
  11. Wanaume wanaofika mshindo mara mbili pekee huwa na afya ya mwili na akili kuliko wale wanaozidisha

    Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na akili zao kuwa kubwa kuliko ile mipopoma inayopenda kufanya goli tatu (hat-rick ) au zaidi, ambao kwa...
  12. Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Hii ni dhana potofu na ni tatizo. Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
  13. Mtaalamu wa mchezo wa bao msaada

    Naomba mnisaidie kipengele cha kutakata katika bao la kete. Shida yangu ni kujua kipengele cha kutakata katika hatua ya kwanza ya mchezo wa bao. Je ikiwa unatakata ukatua kwenye jumba ni lazima kulala au unaruhusiwa kuzoa jumba na kuendelea kutakata ukipenda? Mi si mchezaji wa bao lakini kuna...
  14. Y

    Android bao game (maboresho)

    Kuna marekebisho mengi katika hii app (BaoTz v2.0.0) katika toleo hili. Sasa lina level 4 ambapo unacheza mchezo wa bao la kete kwenye simu yako offline, mwanzo lilikuwa na level 3. Hata hivyo linahitaji zaidi maboresho hasa kwa upande wa AI (Artificial Intelligence) kama mnavyojua positions...
  15. Mchezo wa Bao kupitia AI (Artificial Intelligence)

    Wapendwa, najua mchezo huu vijana wengi sasa hawaufahamu, hivyo katika private project yangu ya AI (Artificial Intelligence) nimeamua kuchagua mchezo wa bao kutengeneza simple game ambalo mchezaji atacheza vs AI. Kwa sasa linapatikana kwenye Android pekee. Nimechagua mchezo huu ili kuufanya uwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…