bara bara mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Mkataba Ujenzi Daraja la Jangwani - Dar Kusainiwa mwezi huu Septemba, 2024

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja katika eneo la Jangwani jijini Dar es salaam ambapo mkataba unatarajiwa kuwa umesainiwa mwezi Septemba, 2024. Bashungwa ameeleza hayo leo Septemba 02, 2024 jijini Dodoma...
  2. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 840 Kutumika Ujenzi wa Miundombinu Iliyoathiriwa na El-Nino

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali tayari imeelekeza kiasi cha Shilingi Bilioni 840 (Dola za Marekani Milioni 325) katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja na makalvati yaliyoharibiwa na mvua kubwa za El-Nino na Kimbunga Hidaya ambapo maandalizi ya utekelezaji...
  3. Ms Billionaire

    KERO Barabara ya Goba Tegeta A/Kulangwa bado inatia mashaka mvua zikianza school bus zinapita sehemu hatarishi

    Habari ya leo wadau. Salamu kwa Rais Samia. Mimi ni Mwanachi wako mkazi wa Goba mwaka wa 12 huu. naleta malalamiko kuhusu njia ya Tegeta A iliyoungana na Kulangwa Nimeishi huku miaka mingi na changamoto yetu kubwa ni barabara. Nilileta malalamiko yangu miezi michache iliyopita kuhusu barabara...
  4. M

    Ukishuka Airport Dar ukapita barabara kuu unaona jinsi nchi na watu wake walivyochoka. Viongozi mnafeli wapi?

    Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala...
Back
Top Bottom