Mimi ni mwana wa Afrika, pia ni mwana wa Afrika Mashariki, nalia na bara langu, nalilia Afrika, machozi yangu bila kuficha hayaendi endi bure, wewe Afrika kwanini uko nyuma kitechnologia.
Wewe Afrika kwanini had leo bado unapokea misaada, wewe Afrika lini utasimama kwa miguu yako, utapiga hatua...