Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.
Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake, mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi, yeye ndio Rais...