Rais Samia umekuwa Rais wa mfano kwa kukamilisha miradi ya aliyekuwa mtangulizi wako bila ya kupiga makelele. Hakika unastahili pongezi toka kwa mtanzania yeyote mwenye kuweza kufikiri kisawasawa.
Kwa kuwa tayari umeshaingia kwenye historia ya nchi kwa kuweza kusimamia miradi mikubwa na kwa...