barabara dar es salaam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Hali ya Barabara Kwa Fundi Baiskeli (Kigamboni) ni mbaya, mkandarasi kaingia mitini, mwezi wa 6 sasa

    Hali ya Barabara Kwa Fundi Baiskeli (Kigamboni) ni mbaya, huu ni mwezi wa 6 tangu Bango la Mkandarasi liwekwe na hakuna kinachoendelea JF tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwa Serikali ya Kigamboni kuhusu changamoto ya barabara, kwa kweli ni mbovu sana hasa maeneo ya Kwa Fundi Baiskeli. Tangu...
  2. Lord denning

    Inakuwaje Dar es Salaam inaoongoza kuingiza mapato ya Nchi unakuwa na barabara mbovu hivi?

    Kati ya Mambo ambayo yatakuja kukiondoa Chama cha Mapinduzi madarakani ni namna ambavyo hawagawi kwa usawa keki ya taifa. Siku Watanzania wakipata akili na kusema kwa nini hapa kwetu tunachangia hiki na hatupati hiki ndio utakuwa mwisho rasmi wa siasa za kutawala Tanzania kwa Chama cha...
Back
Top Bottom