Ni toka mvua za mwaka jana 2024 mpaka leo barabara za Kichangani kuanzia Shule, Kisimani hadi Msikiti wa Mzee Nandule, kote huko njia hazipo ni kama vile Serikali imesahau kuwa kuna watu wanaishi huko.
Mbali ya kuwa Wananchi wamejichanga na kutafuta vifusi ila mkandarasi wa Barabara ya Kibada -...
Wahusika.
Hakuna asiyependa maendeleo, lakini kinachofanyika kwenye barabara hii kutoka mzunguko wa kwenda feri hadi Daraja la Mwalimu Nyerere ni kero.
Kama hakukuwa na fedha za kutosha, isingekuwa lazima kufumua kipande hiki kifupi cha barabara. Matokeo yake ni kero kwa watumiaji: magari...
Wahusika kama ilikuwa muda bado wa kujenga mliona haja gani kukwangua barabara na kuicha hivo wiki ya 4 sasa. Mnatupa kero sana na vumbi na foleni isiyo na sababu.
Kipande hiki tokea mzunguko wa kutokea darajani kama unaenda Vijibweni au Kisiwani kuna kipande maarufu kwa steve ni kero sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.