Wakati wanatangaza kuhusu ujenzi wa hii barabara niliwambia watu kitu. Anyway na ndicho kinachoendeleaaaa
Ile barabara walivunja frame za watu zaidi ya 100 na nyumba za watu kadhaa wakishauriwa wengine kuvunja wenyewe.
Katika kuwaweka sawa wananchi mkandarasi akaja na magari ya kukwangua...