Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta amesema wameiona video clip iliyopostiwa na Mtangazaji wa Clouds media Khan Mbarouk siku mbili zilizopita inayoonesha ubovu wa barabara na msongamano wa magari katika barabara kuu iendayo mikoa ya kusini mwa Tanzania...
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Mtwara, zimesabisha maporomoko ya udogo, kufunga barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, katika eneo la Mikindani kwa zaidi ya saa tano na hivyo kuleta usumbufu kwa abiria na madereva.
Soma Pia: Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata...
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami.
Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara hii na hasa kwa madereva ambao hawaijui njia hii wanaweza kupata ajali.
Nimepita usiku huu...
Tunaandika kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu hali mbaya ya barabara kuu inayounganisha roundabout ya YMCA mjini Moshi na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC.
Barabara hii yenye urefu wa kilomita 2.6, ambayo ilijengwa mwaka 1971, imekuwa kizuizi kikubwa kwa huduma za afya na...
Je, unajua kwamba "Barabara Kuu ya Kwenda Mbinguni" Njia ya Kati ya 80 (I-80) ni mojawapo ya barabara kuu za kati ya majimbo nchini Marekani, inayopitia nchi kutoka mashariki hadi magharibi.
Sehemu ya Interstate 80 inayojulikana kama "barabara kuu ya kwenda mbinguni" iko Wyoming, kati ya miji...
Nafikiri katika technologia ambayo inatakiwa ifanyiwe maboresho ya haraka (kama bado) ni taa za barabarani kwa matumizi ya Highway kwani kwa sasa naona kama hazina manufaa stahiki.
Najaribu kufikiria kwa akili ya kawaida tu, kuruhusu Barabara kuu itumike pengine kwa masaa 6 hadi 10 hivi kati ya...
Nimeshindwa na kutoelwewa kwa nini TANROADS wanajenga mifumo ya flyover ambayo inahitaji taa za kuongoza magari (traffic lights) kwenye barabara zilizo busy. Mfano ni flyover za Ubungo, Tazara na junction ya Kilwa road/Mandela road. Ni kwa nini TANROADS wanatumia mifumo ya flyover sehemu kama...
Salaam!
Naomba kutoa hoja hii kuhusu barabara tajwa! Ina changamoto kubwa sana ya msongamano wa magari makubwa na madogo. Na hii inatokana na ufinyu wa barabara kutokana na mahitaji ya sasa. Tunaiomba serikali iangalie uwezekano wa kuikamilisha barabara hii kwa njia nne kuanzia ilipoishia eneo...
BODI YA MFUKO WA BARABARA YAKUSANYA MAPATO KWA ASILIMIA 77
Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24.
Haya yamebainishwa bungeni na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.