Wakuu,
Niliweka uzi majuzi wa shimo lililokuwa linazidi kuchimbika kutokana na bomba kuwa na hitilafu na hivyo kutiririsha maji na kufanya ardhi eneo hilo kubonyea kirahisi na kuharibika (zaidi soma hapa: Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa...
Wakuu,
Kipande hiki cha barabara ni maeneo ya Mbezi Beach Dar upande wa chini, ambako si mbali sana kutoka ilipo supermark ya Shopaz (kwa ambao si wenyeji wa maeneo haya), kipande hiko cha lami kinachoonekana hapo mwisho kwenye video ndio kinashuka na kupita ilipo supermarket ya Shopaz.
Sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.