barabara mbovu mwanagari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Hali ya barabara kwa wakazi wa Mwanagati inasikitisha

    Habari Wakuu, Yaani inapotokea mvua katika jiji la Dar es Salaam ni kama adhabu kwa wakazi wa Mwanagati kuanzia kipande cha Kwa Mparange mpaka kituo Cha mwisho cha daladala Cha Mwanagati. Barabarani mbovu na haipitiki kwa urahisi. Daladala zinalazimika kupandisha nauli, na Hata baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…