barabara mwendo kasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    RC Albert Chalamila: Barabara ya mwendokasi Airport mpaka Posta itafungwa kupisha mkutano wa kahawa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesema nchi 25 kutoka Afrika zinatarajia kuhudhuria katika mkutano wa kahawa utakao fanyika nchini Tanzania kuanzia kesho Februari 21 Hadi 22 wenye lengo la kujadili namna ya kulikuza zao hilo. Mkutano huo kwa siku ya kesho uta hudhuriwa na...
  2. Roving Journalist

    TANROADS: Mti wa mbuyu katika kituo cha mbuyuni hautaathiriwa na ujenzi wa mabasi yaendayo haraka (BRT4) Mkoani Dar

    MTI WA MBUYU KATIKA KITUO CHA MBUYUNI HAUTAATHIRIWA NA UJENZI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT 4), JIJINI DAR ES SALAAM Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa Miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam...
Back
Top Bottom