Wakati Mheshimiwa Mbunge wa Kibamba akichangia bajeti ya wizara ya ujenzi 2024/2025 alisema tangazo la tenda ya kujenga barabara ya Mbezi Victoria kwenda Mpigi Magoe limeshatoka.
Nimetafuta kila mahala hili tangazo sijaliona kabisa, ninachokutana nacho ni tangazo la barabara ya kibamba shule to...
Wakuu naona ofis ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam au Wilaya ya kinondoni imelala, pale mbele mbuyuni kama unaenda tegeta upande wakushoto karibu na kambi ya J.k.t barabara ya bgamoyo road had kufika mwakani itakuwa imekufa yote au kukatika.
Wale wanaochimba mawe wanaikaribia kuikata barabara...
Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Saadani - Pangani - Tanga (km 256) Sehemu ya kwanza Pangani-Tanga (km 50) kwa kiwango cha lami umefikia 75% Sehemu hii ya Tanga - Pangani inagharimiwa kwa fedha za ndani kwa asilimia 100.
Awamu ya kwanza ya utekelezaji wa...
Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine.
Ni kwamba wamekosa njia kabisa ya kupunguza foleni asubuhi mpaka kuamua kuziba service road? Halafu cha kuchekesha ni...
Barabara hii ya ushoroba kutokea BAGAMOYO/ Bunju kupitia njia panda ya Vikawe Hadi kutokea Kibaha ni muhimu sana kwani ndio barabara pekee inayo unganisha Wilaya ya BAGAMOYO na Mkoa wa Pwani.
Jambo la kushangaza barabara hii inazaidi ya miaka 10 hakuna kinacho endelea, kuna kandarasi yupo pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.