Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...