Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imepokea maombi ya kurejea nauli za mabasi yanayotoa huduma ya usafiri wa haraka kutoka kwa UDART ambayo inatoa huduma za mpito za usafiri wa Mabasi ya Haraka katika Jiji la Dar es Salaam
Mapendekezo ya Nauli yaliyotolewa ni kama ifuatavyo, Nauli ya...
Ili kumuenzi hayati John Magufuli kwa kazi zake nzuri za ujenzi, Kipande cha Barabara ya Kimara hadi Kibaha kibadilishwe jina kutoka morogoro road na kiitwe MAGUFULI HIGHWAY.
Hii itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ma pia itaonyesha kudhamini mchango wake hasa kwenye ujenzi wa miundo Mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.