Salaam Wakuu,
Kwanza kabisa niwashukuru JamiiForums kwa kupaza sauti yetu ya ubovu wa barabara uliokuwepo kuanzia kipande cha Kwa Mpalange mpaka Mwanagati.
Barabara hii ilikuwa mbaya kupitiliza, ilikuwa ni ngumu sana kwa daladala kufanya kazi bila kuharibikiwa vyombo vyao mpaka walilazimika...