Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo.
Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani.
Leo barabara za zamani...
Mimi binafsi sioni kabisa kinachofanyika katika ujenzi wa barabara ya mwendo kasi kwa phase hii ya njia ya tegeta posta na kipande cha ubungo tofauti kabisa na ujenzi wa njia ya Morogoro road au ilee ya gongolamboto.
Enzi za ujenzi wa Morogoro road kwanza utaona watu wapo busy masaa 24 kufanya...
Barabara imejengwa kwa Kodi za Wananchi, mmeifunga kusudi ilihali hakuna gari yoyote ya Mwendokasi inayopita! Tunateseka na foleni huku pembeni tunaona Barabara Iko tupu.
Not fair! Huku kwetu kura mnazoaga tu, kwa nini mnatunyanyasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.