Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara kutoka Mjini kati Ohio hadi Mwenge na Tegeta, kufanya kazi Usiku na Mchana ili kuhakikisha Ujenzi unakamilika mapema.
Ameyasema hayo leo tarehe 15 Januari wakati alipotembelea ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi awamu ya nne...