Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa.
Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya:
1. Barabara za lami
2. Reli ya mpya (SGR)
3. Mipango miji
4. Viwanda
Kusema ataleta...
Serikali imetenga Shilingi bilioni 17 kwa ajili ya ujenzi wa Stendi Kuu ya Kisasa mjini Babati pamoja na ujenzi wa kilomita 10 za barabara za lami katika mji huo.
Ujenzi wa miradi hiyo unatarajiwa kuanza rasmi mwezi Mei 2025 kama sehemu ya kuboresha miundombinu na huduma kwa wananchi.
Pia...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024.
Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26.
Pakua Samia App kupitia...
awamu
awamu ya sita
barabarabarabarazalami
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
kutoka
lami
mikoa
mtandao
mtandao wa barabara
rais
rais dkt. samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
serikali
suluhu
urefu
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.