Kuna hili Eneo hapa Kanisa la st. Peters karibu na gate la "Security officers" Barabara imewekwa viraka juu ya viraka. kila inaponyesha mvua lazima iharibike hivi kweli mpaka mtu apate ushauri hapa JF ndio wajue pale panastahili kuwekwa zege?
Mimi sio mtaalamu wa Ujenzi lakini kinachofanyika...