barabara za moshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Kunani matengenezo ya barabara Getifonga-Mabogini-Kahe? Adha ya vumbi, vifusi, barabara hazipitiki na vifaa mmeondoa saiti. Tunataka maelezo

    Mkandarasi aliyepewa tenda ya kutengeneza barabara ya kilometa 31 ya Geti Fonga-Mabogini-Kahe wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro anasababisha kero kwa wakazi wa maeneo inapopita barabara hiyo. Mkandarasi huyo ni Lenana Holding Company Limited yenye makao makuu yake jijini Arusha. Kero...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…